• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vitabu muhimu vya maadhimisho ya miaka 200 tangu kuzaliwa kwa Karl Marx vyachapishwa Beijing

    (GMT+08:00) 2018-05-03 18:03:44

    Kongamano la uchapishaji wa vitabu muhimu vya maadhimisho ya miaka 200 tangu kuzaliwa kwa Karl Marx limefanyika leo mjini Beijing.

    Mwaka huu pia ni mwanzo wa kutekeleza mawazo yaliyotolewa kwenye Mkutano Mkuu wa 19 wa Chama cha kikomunisti cha China.

    Mkutano huo umeeleza kuwa, uchapishaji wa vitabu hivyo utakuwa na umuhimu mkubwa katika kuwahamasisha wananchi kujifunza na kutumia nadharia ya Umarx, kufuata kwa hatua thabiti itikadi ya kisayansi ya Umarx, imani ya usoshalisti, na ujamaa wenye umaalumu wa kichina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako