• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Shirika la China kutengeneza mradi wa umeme wa Uganda.

    (GMT+08:00) 2018-05-03 18:07:20

    Shirika la China Sinohydro limepewa zabuni ya kutengeneza mradi wa umeme wa megawati 600.

    Waziri wa kawi nchini Uganda Irene Muloni amesema wizara yake itashirikiana kwa karibu na shirika hilo kutekeleza mradi huo kwa wakati.

    Ujenzi wa mradi huo wa gharama ya dola bilioni 1.65 unatarajiwa kuanza mwezi ujao na kukamilishwa mwisho wa mwaka .

    Umeme nchini Uganda umekuwa haba na mradi huo unatarajiwa kufikisha huduma ya umeme katika vitongoji vyote Uganda.

    Uganda vile vile ina matumaini ya mradi huo kuvutia wawekezaji zaidi wa biashara na kilimo

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako