China leo imerusha selitaliti mpya ya mawasiliano iitwayo "APSTAR-6C" kwa kutumia roketi ya Long March-3B. Selitaliti hiyo itatoa huduma za kurusha mawimbi ya televisheni, mawasiliano, mtandao wa internet na vyombo vipya vya habari kwa wateja katika ukanda wa Asia na Pasifiki.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |