• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kuadhimisha miaka 200 tangu Karl Marx azaliwe wafanyika hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2018-05-04 15:55:39

    Mkutano wa kuadhimisha miaka 200 tangu Karl Marx azaliwe umefanyika leo hapa Beijing. Katibu mkuu wa kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, Rais wa China, Mwenyekiti wa Kamati ya kijeshi ya Kamati kuu ya chama Xi Jinping ametoa hotuba muhimu kwenye mkutano huo, na kusisitza kuwa tunamkumbusha hayati Marx ili kutoa heshima kwake, na kujifunza itikadi ya kisayansi ya Umarx.

    Rais Xi Jinping wa China amesema, licha ya mabadiliko makubwa na ya kina ya jamii ya binadamu, karne mbili baadaye, jina la Karl Marx bado linaheshimiwa dunia nzima na falsafa yake bado inang'ara kwa ukweli.

    Rais Xi pia amesema, Marx sio tu ni mtu maarufu aliyebeba uzito wa dunia, lakini pia ni mtu wa kawaida mwenye mapenzi na maisha, ambaye alikuwa mkweli na muwazi kwa marafiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako