• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Spika wa bunge la umma la China kutembelea Ethiopia, Msumbiji, na Namibia

    (GMT+08:00) 2018-05-04 19:01:43

    Spika wa bunge la umma la China Bw. Li Zhanshu atafanya ziara rasmi katika nchi za Ethiopia, Msumbiji na Namibia kuanzia tarehe 9 hadi 18 mwezi huu.

    Bw. Li ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Bunge la Umma la China, anafanya ziara hiyo kutokana na mialiko ya maspika mabunge ya nchi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako