• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonyesho ya biashara ya Guangzhou yafungwa kwa uuzaji bidhaa nje ya nchi wenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 30

    (GMT+08:00) 2018-05-05 18:24:57

    Maonyesho ya biashara ya Guangzhou yamefungwa leo katika mji huo uliopo kusini mwa China na hadi kufikia tarehe 3, mikataba iliyosainiwa ya uuzaji bidhaa nje ya nchi ilifikia dola za kimarekani bilioni 30.

    Msemaji wa Maonyesho hayo ambaye pia ni naibu mkurugenzi wa Kituo cha Biashara ya Nje cha China Xu Bing amesema mashine ni bidhaa zilizonunuliwa kwa wingi zaidi katika Maonyesho hayo na kuchukua asilimia 52.8 ya biashara ya jumla. Uuzaji bidhaa kwa nchi zilizo katika "Ukanda Mmoja, Njia Moja" ulifikia dola za kimarekani bilioni 9.67, kiasi ambacho kiliongezeka kwa asilimia 8.8 kuliko Maonyesho hayo ya mwaka jana wakati kama huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako