• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pombe feki za changia asilimia 40, katika soko wazalishaji pombe wanasema

    (GMT+08:00) 2018-05-07 19:42:58
    Serikali imetakiwa kushughulika suala la bidhaa feki nchini kwa sababu, inauuwa viwanda vya ndani.

    Kwa mujibu wa kampuni ya pombe ya Keroche, pombe feki imefikia asilimia 40 katika soko na takwimu zinazoongezeka kwa kila siku.

    Nchi inapoteza mamilioni ya pesa na ukosefu wa ulipaji kodi, kutokana na uingiaji wa pombe la bei nafuu.

    Mamlaka ya ushuru, imeombwa kuweka marsharti makali kwa yeyote yule, atapatikana akiuuza au kuzalisha vinjwa au pombe haramu nchini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako