• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuongeza kodi kwenye mafuta ya taa ili kuokoa soko la nje, inasema ERC

    (GMT+08:00) 2018-05-07 19:43:16
    Tume ya Udhibiti wa Nishati imeomba Serikali kuinua kodi kwa bidhaa ili kuokoa masoko ya nje.

    Mkurugenzi Mkuu wa ERC Pavel Oimeke amesema kuwa Kenya hutumia lita milioni 33 za mafuta ya taa kwa mwezi ambayo ni kubwa sana kuliko ile inakadiriwa lita ambayo si zaidi ya lita milioni 5 za mafuta ya taa kwa mwezi.

    Aidha amesema, suala hili linaweza kushughulikiwa tu ikiwa wakiritimba wa kibiashara wataongezewa kodi iliyowekwa kwenye mafuta ya taa ili kuokoa soko la mauzo ya nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako