• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kutathmini kanuni za ubora wa bidhaa za watoto

    (GMT+08:00) 2018-05-08 20:10:03

    China itafanyia marekebisho kanuni za viwango vya bidhaa za watoto, taa, na bidhaa za majumbani.

    Akizungumza kwenye mkutano wa viwanda uliofanyika hapa Beijing hii leo, Mkuu wa Shirikisho la Viwanda vya Taa la China Zhang Chonghe amesema, viwango vya ubora vilivyopo sasa vimepitwa sana na wakati na haviwezi kukabiliana na matakwa ya sasa.

    Ameongeza kuwa, baadhi ya mashirika ya ukaguzi wa ubora yanatakiwa kuboresha huduma zao na kuanzisha nafasi za wazi za soko. Amesema Shirikisho hilo litafanya juhudi thabiti za kuboresha viwango vya ubora na kufuatilia mwenendo wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako