• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China na kiongozi wa Korea Kaskazini wafanya amazungumzo mjini Dalian

    (GMT+08:00) 2018-05-08 20:20:51

    Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China amekutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un mjini Dalian, mkoani Liaoning, kaskazini mashariki mwa China.

    Rais Xi pia aliandaa dhifa ya kitaifa kwa ajili ya kumkaribisha kiongozi wa Korea Kaskazini. Viongozi hao walikuwa na mazungumzo ya kina kuhusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili na masuala muhimu yanayofuatiliwa kwa pamoja na pande hizo.

    Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Wang Huning na wajumbe wengine wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CPC pia walihudhuria shighuli hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako