• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Mpira wa pete Afrika Mashariki yaendelea

    (GMT+08:00) 2018-05-10 09:23:05
    Mashindano ya mpira wa pete (Netball) Afrika Mashariki yamezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yanashirikisha jumla ya timu 13 za wanawake na wanaume kutoka ukanda wa Afrika Mashariki.

    Mwenyekiti wa chama cha mpira wa kikapu Tanzania (CHANETA) Bi. Devotha Marwa amesema timu zinazoshiriki ni kutoka Tanzania ambao ni wenyeji, Kenya, Uganda na Zanzibar na kuwa michuano hiyo inasaidia kuimarisha umoja na ushirikiano kwa nchi hizo za Afrika Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako