• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sir Ferg aendelea vyema baada ya upasuaji wa ubongo

    (GMT+08:00) 2018-05-10 09:23:19
    Kocha wa zamani wa Manchester United Alex Ferguson ameanza kuketi na kuzungumza na familia yake baada ya kufanyiwa uasuaji wa ubongo mwishoni mwa wiki.

    Kocha huyo mwenye mafanikio zaidi katika soka ya Uingereza amebaki kitengo cha wagonjwa walio chini ya uangalizi maalum katika hospitali ya Salford Royal.

    Wachezaji na makocha mbalimbali wameendelea kutuma salamu za pole wakimtakia afya njema kocha huyo mwenye umri wa miaka 76, aliyestaafu mwaka 2013.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako