• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatimaye Neymar arejea Ufaransa

    (GMT+08:00) 2018-05-10 09:24:50
    Staa wa timu ya taifa ya Brazil anayecheza klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Neymar da Silva Santos Jr baada ya habari nyingi kuenea kutokana na kutoonekana kwake wakati wa mechi ya PSG na Monaco sasa amerejea.

    Neymar amerejea Ufaransa baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu wake mwezi Machi mwaka huu nyumbani kwao Brazil huku akitegemewa kuwa atarejea uwanjani wakati wa fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Russia lakini kuna tetesi kuwa anaweza kuichezea PSG kabla ya msimu kumalizika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako