• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Biashara ya nje ya China kuendelea kwa utulivu katika mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2018-05-10 18:51:30

    Wizara ya Biashara ya China imesema, maendeleo ya biashara ya nje ya China yanatarajiwa kutulia na kuboreka zaidi katika mwaka huu.

    Takwimu zilizotolewa na Idara ya Usimamizi wa Forodha ya China zimeonyesha kuwa, uagizaji wa bidhaa za China nje ya nchi uliongezeka kwa asilimia 6.4 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho, na kufikia dola za kimarekani bilioni 756 kwa mwezi Januari hadi April, huku uingizaji wa bidhaa ukiongezeka kwa asilimia 11.7 na kufikia dola za kimarekani bilioni 80.

    Gao amesema China inatarajia maendeleo ya biashara yake ya nje sio tu yatawanufaisha watu wa China, bali pia dunia nzima na uchumi wa dunia, ili kuleta karibu kwa jamii yenye hatma ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako