Kampuni hoyo imepata jumla ya mapato ya shilingi bilioni 233.7 katika mwaka uliokamilika mwezi Machi 2018 ikiwa ni ongezeko la asilimia 9.8 ya mapato ya mwaka jana.
Faida yake ya jumla baada ya ushuru imepanda kwa asilimia 14 ambayo ni shilingi bilioni 55.1.
Afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo Bob Colymore amesema ukuwaji huo umetokana na matumizi ya huduma ya mpesa pamoja na huduma nyingine za mawasiliano.
Wateja wa Safaricom wameongezeka kwa asilimia 5.1
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |