• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • biashara zasitishwa katika soko la Mogadishu kufuatia bomu

    (GMT+08:00) 2018-05-10 19:43:06
    Shughuli za biashara zilivurugwa katika soko kuu jijini Mogadishu nchini Somalia kufuatia shambulizi la bomu lilisabaisha mauaji ya watu 11.

    Mohamed Abdilkarim afisa mkuu wa kikanda amethibitisha mauaji hayo pamoja na majeruhi kadhaa huku mali ya maelfu ya pesa ikiharibiwa na shambulizi hilo.

    Soko hilo la Wanlaweyn linatambuila kwa biashara ya ya bidhaa za kilimo lakini maarufu zaidi kwa uuzaji wa miraa.

    Haijuajulikana haswa aliyetekeleza shambulizi hilo lakini duru zinaarifu kuhusika kwa wanamgambo wa al shabaab.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako