• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda namba moja kwa  uandalizi wa mikutano

  (GMT+08:00) 2018-05-10 19:43:44

  Rwanda imeorordheshwa katika nafasi ya kwanza kama kituo cha uandaaji bora wamikutano ya kimataifa barani Afrika.

  Orodha hiyo imetolewa na muungano wa kimataifa wa mikutano ICCA .

  Rwanda imeongoza barani Afrika na kuchukua nafasi ya tatu duniani kwa uwezo wake kuandaa mikutano na makongamano tofauti.

  Rwanda imetambuliwa na juhudi zake za kuboresha maeneo ya kuandaa mikutano pamoja na maonyesho.

  Kwa sasa Rwanda imeandaa kongamano la masuala ya kiuchumi lilivutia zaidi ya wajumbe elfu 4.

  Mkurugenzi mkuu wa maandalizi ya kimutano nchini Rwanda Denise Omany amesema wamekuwa wenyeji wa mikutano ya utalii,uchumi na ushirikiano wa kimataifa katika sekta ya uwekezaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako