• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu Tanzania Bara: Simba yatangaza ubingwa kabla ligi kuisha, Yanga yautema Ubingwa

  (GMT+08:00) 2018-05-11 08:18:17

  Ni rasmi sasa Simba Sports Club aka wekundu wa Msimbazi ndio mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) hiyo ni baada ya waliokuwa mabingwa watetezi ambao pia ni mahasimu wao wakubwa Dar es Salaam Young Africans kuutema ubingwa huo uliokuwa ukiushikilia baada ya kukubali kipigo cha goli 2-0 toka kwa Maafande wa Magereza Prisons katika mchezo uliopigwa jana uwanja wa Sokoine Mbeya.

  Yanga inauachia ubingwa wa ligi kuu baada ya kukaa nao kwa misimu mitatu mfululizio wakati, Simba SC inatwaa taji la kwanza la ligi hiyo tangu mwaka 2012 walipochukua kwa mara ya mwisho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako