• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • "Tupo Tayari kwa michuano ya AFCON U17 mwaka 2019": Majaliwa

    (GMT+08:00) 2018-05-11 08:18:42
    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Tanzania inaendelea vizuri na maandalizi ya michuano ya soka ya Mataifa ya Afrika kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) yanayotarajiwa kufanyika nchini humo mwakani.

    Majaliwa ameyasema hayo jana Bungeni mjini Dodoma katika vikao vinavyoendelea vya bunge hilo.

    Majaliwa amewahakikishia watanzania na kuwataka kuziunga mkono timu zote za Taifa zinazopeperusha bendera ya taifa hilo kwenye michuano ya kimataifa na zile za vilabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako