• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Judo Afrika kuanza nchini Burundi

    (GMT+08:00) 2018-05-11 08:19:02
    Mashindano ya kuwania taji la mchezo wa Judo Afrika yataanza Alhamisi wiki ijayo jijini Bujumbura nchini Burundi. Mashindano hayo yatazishirikisha nchi 13 kutoka Afrika.

    Jumla ya wachezaji 66 kutoka mataifa 12 wanatarajiwa kushiriki katika mashindano hayo makubwa kwa vijana barani Afrika.

    Kati ya wachezaji hao, wachezaji 35 ambao wanafahamika kama Judoka, ni wanaume huku wanawake wakiwa ni 31.

    Mataifa yanayoshiriki ni pamoja na Algeria, Djibouti, Misri, Gambia, Cote d'Ivoire, Madagascar, Morocco, Senegal, Afrika Kusini, Tunisia, Zambia na Zimbabwe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako