• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gor Mahia uso kwa uso na Hull City ya Uingereza

    (GMT+08:00) 2018-05-11 08:19:33
    Mabingwa wa kandanda nchini Kenya Gor Mahia, watakabiliana na klabu ya Uingereza Hull City jijini Nairobi.

    Hull City ambayo inashiriki ligi daraja la pili EFL nchini Uingereza wanatarajiwa kuwasili nchini Kenya leo kwa mechi hiyo ya kirafiki itakayochezwa jumapili katika uwanja wa Kasarani.

    Mwaka uliopita Hull City iliochezesha vijana wadogo iliishinda timu Kenya All Star 2-1 nchini Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako