• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya Rugby ya Afrika wachezaji 7 kila upande: Kocha ateua wachezaji timu ya taifa ya Uganda Lady Cranes

    (GMT+08:00) 2018-05-11 08:19:54
    Kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya rugby ya Uganda (Lady Cranes) ya wachezaji 7 kila upande Helen Koyokoyo Buteme ameteua wachezaji kuwakilisha nchi hiyo katika michuano ya rugby ya Afrika wachezaji 7 kila upande ya wanawake inayotarajiwa kuanza nchini Botswana Mei 25 hadi 27 mwaka huu.

    Wachezaji walioitwa wamehakikisha kupeperusha vyema bendera ya nchi hiyo katika michuano hiyo ili kuweza kukata tiketi ya michuano ya kombe la dunia la rugby ya wachezaji 7 kila upande.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako