• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maonesho ya 28 ya vitabu ya China kufanyika mwezi wa Julai huko Shenzhen

  (GMT+08:00) 2018-05-11 18:17:35

  Maonesho ya 28 ya vitabu ya China yenye kauli mbiu ya "Zama Mpya, Usomaji Mpya" yatafanyika kuanzia Julai 19 hadi 22 huko Shenzhen.

  Maonesho hayo yatakayofanyika kwenye eneo linalozidi mita elfu 50 za mraba, yatashirikisha mashirika karibu 1000 na kuonesha machapisho milioni 1 ya vitabu vya aina laki 2. Na shughuli zaidi ya 500 za utamaduni wa usomaji pia zitafanyika wakati wa maonyesho hayo.

  Mbali na hayo, maonesho hayo yatatumia teknolojia ya juu na kutimiza uwezo wa utambuzi wa uso wa binadamu, ukaguzi wa tikiti za kielektroniki, malipo ya kielektroniki na matangazo ya moja kwa moja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako