• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatarajia mkutano wa viongozi wa Korea Kaskazini na Marekani utasaidia kuondoa silaha za nyuklia katika Peninsula ya Korea

  (GMT+08:00) 2018-05-11 18:17:55

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, China inapongeza maendeleo mazuri yaliyopatikana katika maandalizi ya mkutano wa viongozi wa Korea Kaskazini na Marekani, na kutarajia kuwa mkutano huo uatapata mafanikio makubwa na kufanya peninsula ya Korea iwe sehemu isiyo na silaha za nyuklia.

  Rais Donald Trump wa Marekani jana usiku alitangaza kuwa atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un Juni 12 nchini Singapore.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako