• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya Afrika: Timu ya taifa ya Rwanda yashinda nafasi ya tatu

  (GMT+08:00) 2018-05-15 10:10:22

  Timu ya taifa ya Rwanda ya mchezo wa Raga imeshinda nafasi ya tatu kwenye mashindano ya awali ya Afrika baada ya kushinda mechi moja dhidi ya Lesotho, na ikifungwa na wenyeji Ghana kwenye mechi nyingine.

  Kutokana na matokeo hayo, Rwanda itasalia kwenye daraja C, sambamba na Mauritius ambayo pia ilishinda mechi moja na katika mechi nyingine ikifungwa na Ghana.

  Katika michezo hiyo Ghana imetwaa ubingwa baada ya kushinda mechi zote, hivyo inapanda daraja na moja kwa moja inafuzu kwa ajili ya raundi ya pili ya mashindano ya Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako