• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mechi ya Kirafiki: Gor Mahia ya Kenya na Hull City ya Uingereza zaweka rekodi ya mapato

  (GMT+08:00) 2018-05-15 10:10:46

  Kwa mujibu wa wataalamu wa hesabu ya mapato, mechi ya kirafiki kati ya Gor Mahia ya Kenya na Hull City ya uingereza imekusanya jumla ya shilingi milioni 3.6 kutokana na viingilio ikiwa ni rekodi ya kipekee na kwa mechi za kirafiki pia.

  Kwenye mechi hiyo iliyopigwa katika uwanja wa Kasarani, Hull City walishinda kwa magoli 4-3 yaliyopatikana kwa njia ya penati baada ya dakika 90 za kawaida kumalizika matokeo yakiwa sare ya 0-0.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako