• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kocha asema Serena anaweza kushinda ubingwa wa michuano ya Ufaransa

  (GMT+08:00) 2018-05-15 10:11:06

  Patrick Mouratoglou ambaye ni Kocha mkuu wa mchezaji wa Tennis Serena Williams, amesema kutokana na jitihada kubwa aliyoifanya mchezaji wake, ni wazi kuwa ataweza kushinda taji la Ufaransa kwa mwaka huu.

  Bingwa huyo mara 23 wa mashindano makubwa ya tennis hajashiriki tangu mwaka 2016, katika siku za hivi karibuni amekuwa akijiondoa kwenye ushiriki wa baadhi ya mashindano ili kukusanya nguvu kwa ajili ya michuano ya Ufaransa.

  Mashindano ya Ufaransa (French Open) kwa mwaka huu yanaanza rasmi Mei 27

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako