• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • PSG ya Ufaransa yamtangaza Tuchel wa Dortmund kuwa kocha wake mpya

  (GMT+08:00) 2018-05-15 10:11:25

  Klabu ya PSG inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa imemtangaza kocha wa zamani wa Borrusia Dortmund ya Ujenrumani Thomas Tuchel kocha wake mpya.

  Tuchel amesaini mkataba wa miaka miwili na anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Unai Emery ambaye hajaongezewa mkataba licha ya kutwaa makombe matatu ndani ya msimu mmoja.

  Tuchel hakuwa anafundisha timu yoyote tangu aachane na Dortmund mwezi Mei mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako