• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Wafanyabisara wa Uganda wakosa fursa SGR

  (GMT+08:00) 2018-05-15 18:16:25
  Wafanyabisara wa Uganda huenda wakakosa fursa ya kuuza mali ghafi kwenye mradi wa reli ya kisasa SGR iwapo bidhaa zao hazijatimia ubora unaotakiwa.

  Kati ya watengenezaji 19 wa vyuma ni kampuni tatu tu zitakazouza bidhaa zao kwa mradi huo baada ya nyingine kujiondoa kwa kutotimiza viwango.

  Mradi huo mkubwa utatekelezwa na kampuni ya China tya China Harbour Engineering.

  Mratibu wa mradi huo wa SGR Kasingye Kyamugambi, amesmea wanakubwa na changamoto ya jinsi ya kutekeleza sera ya kutenga asilimia inayotakiwa ya chuma, saruji na changarawe kutoka kwa wauzaji wa ndani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako