• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa Ethiopia aonya maofisa wenye akaunti kwenye benki za kigeni

  (GMT+08:00) 2018-05-16 09:38:01

  Waziri mkuu wa Ethiopia Bw. Abiy Ahmed jana amesemaonya kuwa serikali yake inafanya inawafanyia uchunguzi kwa maafisamaofisa wanaliodaiwa kuwa na akaunti kwenyeza benki za kigeni.

  Shirika la habari la Ethiopia limesema, Bw. Abiy Ahmed alisema hayo wakati alipofanya majadiliano na maafisamaofisa waandamizi wa serikali kwenye ofisi yake.

  Bw. Abiy Ahmed hakutaja majina ya maafisamaofisa wanaliofanyiwa uchunguzi na majina ya nchi za kigeni zinazoshirikiana na serikali yake ili kutafutagundua akaunti zisizo halali katikza benki za kigeni.

  Bw. Abiy Ahmed aliapishwa kuwa waziri mkuu wa Ethiopia tarehe 2 mwezi Aprili, ambaye na aliahidi kuheshimushikilia utawala bora na kupambana na ufisadi nchini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako