• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yataka Korea Kaskazini na Marekani kuonyesha nia njema kwa upande mwingine

  (GMT+08:00) 2018-05-16 19:26:14

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo hapa Beijing amesema, Korea Kaskazini na Marekani zinapaswa kuonyesha nia njema kwa upande mwingine, ili kuepusha kuchukua hatua za kuchochea hali ya wasiwasi.

  Bw. Lu Kang amesema, hivi sasa mchakato wa utatuzi wa amani na siasa wa suala la peninsula ya Korea umepata fursa nzuri, pande zote husika hasa Korea Kaskazini na Marekani zinapaswa kuendana kwa pamoja, kushirikiana kutoa mazingira mazuri kwa mkutano wa viongozi wa nchi hizo mbili, ili kutoa juhudi kwa ajili ya kutimiza peninsula ya Korea isiyo na silaha za nyuklia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako