• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Askari 10 wa Afghanistan na wapiganaji 44 wa kundi la Taliban wauawa

  (GMT+08:00) 2018-05-16 20:42:54

  Askari wasiopungua 10 wa Afghanistan na wapiganaji 44 wa kundi la Taliban wameuawa katika mapambano yaliyotokea leo katika wilaya nne za mkoa wa Ghazni, mashariki mwa Afghanistan.

  Kamanda wa kikosi cha 203 cha Tandar, Jenerali Shohuor Gul amesema, wapiganaji hao walishambulia vituo vya ukaguzi wa usalama katika wilaya ya Andar, Gilan, Zana Khan na Jaghato.

  Amesema, hivi sasa, hali ya eneo la tukio hilo imedhibitiwa na kikosi cha usalama na usalama umerejea tena.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako