• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Arsenal, kufanya mazungumzo na Mikael Arteta kwa ajili ya kuchukua nafasi ya ukocha

  (GMT+08:00) 2018-05-17 08:41:28

  Inaelezwa kuwa Arsenal watafanya mazungumzo na mchezaji wao zamani, Mikael Arteta wa Hispania kwa ajili ya kuchukua nafasi ya kocha iliyoachwa wazi na Arsene Wenger.

  Arteta mwenye miaka 36 sasa, ni kocha msaidizi wa klabu ya Manchester City inayofundishwa na Pep Guardiola, na endapo makubaliano yatafikiwa, atapata dau la pauni milioni 50 msimu huu.

  Mazungumzo hayo muhimu yataongozwa na mkurugenzi mkuu wa Arsenal Ivan Gazidis, mkuu wa idara ya maendeleo ya soka Raul Sanllehi na mkuu wa kitengo cha usajili Sven Mislintat.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako