• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lamu:Marekani kushirikiana na China kwenye mradi wa bilioni 50 mkaa wa Lamu

    (GMT+08:00) 2018-05-17 18:11:27

    Kampuni ya umeme na kawi ya Conglmerate Electric imewekeza shilingi bilioni 50 katika mradi wa kawi ya mkaa katika kaunti ya Lamu.

    Kampuni hiyo inatarajiwa kutumia teknolojia ya kisasa zaidi katika utayarishaji na uchimbaji wa mkaa pamoja na kulinda mazingira ya wakaazi.

    Michael Keroulle afisa mkuu wa biashara wa GE power ya Marekani amesema watashirikiana na serikali ya China kupitia kwa kampuni yha Chineese firm investement power kufanya mradi huo.

    Mradi huo wa Amu Power utagharimu jumla ya dola milioni 500 sawia na shilingi bilioni 50.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako