• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bw. Shen Haixiong ahudhuria uzinduzi wa Maonesho ya 15 ya kimataifa ya China ya filamu na tamthiliya

  (GMT+08:00) 2018-05-17 19:55:45

  Maonesho ya 15 ya kimataifa ya China ya filamu na tamthiliya yamefunguliwa leo hapa Beijing, ambapo mkuu wa Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha Taifa Bw. Shen Haixiong amehutubia uzinduzi wa maonyesho hayo.

  Katika miaka ya hivi karibuni, maonyesho hayo yamepata maendeleo makubwa, na yamekuwa maonyesho makubwa zaidi barani Asia. Kauli mbiu ya maonyesho ya mwaka huu ni "zama mpya, vitendo vipya na ukurasa mpya", itaonyesha mafanikio makubwa yaliyopatikana katika zama mpya, kuonyesha kazi mpya za wafanyakazi wa sekta hiyo, na ukurasa mpya wa ushirikiano shirikishi wa vyombo vya habari vya aina mbalimbali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako