• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shughuli ya kuisifu Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai kwenye tovuti yaanzishwa

  (GMT+08:00) 2018-05-17 20:09:14

  Mkutano wa 18 wa kamati ya viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai utafanyika mwanzoni mwa mwezi ujao mjini Qingdao. Shughuli ya kuisifu jumuiya hiyo kwenye tovuti leo imeanzishwa rasmi.

  Madhumuni ya shughuli hiyo ni kueneza moyo wa ushirikiano wa Shanghai kwa njia rahisi na ya kufurahisha, kufanya watu wengi zaidi wafahamu jumuiya hiyo, na kuhimiza mawasiliano na urafiki kati ya nchi wanachama wa jumuiya hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako