• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa 8 wa viongozi wa idara za kupambana na dawa za kulevya za SCO wafanyika

  (GMT+08:00) 2018-05-17 20:54:10

  Mkutano wa 8 wa viongozi wa idara za kupambana na dawa za kulevya wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai (SCO) umefanyika.

  Wajumbe wanaohudhuria mkutano huo wameona kuwa, kwa kukabiliana na changamoto za mapambano dhidi ya dawa za kulevya, nchi wanachama wa SCO zinapaswa kusawazisha msimamo na kuzidisha ushirikiano.

  Naibu mkurugenzi wa kamati ya kupambana na dawa za kulevya ya China Bw. Liu Yuejin amesema, jumuiya ya ushirikiano wa Shanghai ni jukwaa muhimu la ushirikiano wa mapambano dhidi ya dawa za kulevya katika kanda hiyo. China inatumai nchi wanachama zitaimarisha zaidi mafanikio ya ushirikiano wa mapambano dhidi ya dawa za kulevya, kupanga vizuri lengo la kazi hiyo, ili kutoa mchango kwa ajili ya jumuiya yenye mustakabali wa pamoja wa SCO katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako