• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Mikono (Handball): Rwanda yashinda mechi tatu mfululizo za mshindano ya vijana chini ya umri wa miaka 20

    (GMT+08:00) 2018-05-18 08:52:59

    Timu ya taifa ya Rwanda jana imeishinda Burundi kwa alama 37-22 kwenye mechi ya raundi ya tatu ya hatua ya makundi ya mashindano ya mpira wa mikono kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, yanayoendelea nchini Uganda.

    Ushindi huo ni wa tatu mfululizo, na Rwanda imefuzu hatua ya nusu fainali ikiwa inaongoza kundi hilo ikiwa na pointi sita, Uganda iko nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 4.

    Mechi za nusu fainali zikitarajiwa kupigwa jumamosi na jumapili mwishoni mwa juma hili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako