• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya timu 8 za Afrika Mashariki zinazodhaminiwa na kampuni ya Sportpesa, mwaka huu yatafanyika mwezi juni nchini Kenya

  (GMT+08:00) 2018-05-18 08:55:28

  Tofauti na ilivyokuwa mwaka jana, ambapo bingwa alipata zawadi pamoja na kushiriki mechi moja dhidi ya timu kutoka ligi kuu ya Uingereza inayodhaminiwa na kampuni hiyo, (Gor Mahia walicheza na Everton mwezi Julai mwaka 2017), bingwa wa mwaka huu atapata zawadi na pia atasafiri kwenda Uingereza kushiriki mechi dhidi ya moja ya klabu zinazodhaminiwa na kampuni hiyo.

  Timu za Afrika Mashariki zinazoshiriki ni pamoja na Simba, Singida United, JKU (Tanzania), Gor Mahia, AFC Leopards na Tusker FC (Kenya), na Kwa upande wa ligi kuu ya Uingereza zinazodhaminiwa na Sportpesa ni Arsenal, Hull City, Southampton na Everton.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako