• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Magongo (Baseball), Mchezaji apewa adhabu ya kutoshiriki mechi 80 kwa kosa la kutumia dawa zilizokatazwa michezoni

    (GMT+08:00) 2018-05-18 08:56:11

    Mchezaji nyota wa mchezo wa mpira wa magongo (baseball) anayeshiriki ligi kuu ya kulipwa nchini Marekani akiwa na timu ya Seattle Mariners, Robinson Cano ambaye ni raia wa Jamhuri ya Dominica amefungiwa kutoshiriki michezo 80 kutokana na hatia ya kutumia dawa zilizopigwa marufuku kwa wanamichezo.

    Vipimo vilionyesha kuwa mchezaji huyo alitumia dawa aina ya diuretic Furosemide, ambapo yeye mwenyewe alikiri kutumia akiwa likizo nchini Dominica, lakini pasipo kujua kuwa zimepigwa marufuku, hivyo ameomba radhi mashabiki na uongozi wa timu ambao umeleeza kushtushwa na taarifa hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako