• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanamichezo Shujaa: Makumbusho ya Uingereza yaongeza viatu vya mchezaji Mohamed Salah kwa maonyesho yake kutokana na mchango aliotoa

    (GMT+08:00) 2018-05-18 08:57:30

    Kutokana na takwimu pamoja na rekodi alizoziweka kwa msimu huu, makumbusho kuu ya taifa ya Uingereza imeamua kuongeza viatu vya mchezaji Mohamed Salah wa Misri kwenye idara ya Misri kwenye makumbusho hiyo.

    Katika taarifa hiyo iliyotolewa jana, Salah amepewa heshima hiyo kutokana na kutoa mchango mkubwa kwa klabu yake na timu ya taifa ambao umevuta hisia za watu dunia nzima, kwa kuvunja rekodi ya ufungaji magoli katika ligi kuu ya Uingereza na kuisaidia timu ya Misri kufuzu kombe la dunia baada ya miaka 27, wakimtaja kuwa ni shujaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako