• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia, Zimebaki siku 27: Nyota nane waachwa katika kikosi cha timu ya Ufaransa kitakachoshiriki kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2018-05-18 08:58:11

    Karim Benzema (Real Madrid), Anthony Martial (Manchester United), Wissan Ben Yedder (Sevilla), Alexander Lacazette (Arsenal), Adrien Rabiot (PSG), Aymeric Laporte (Man City) Dimitri Payet (Marseille) na Kingsley Coman (Bayern Munich) ni baadhi ya wachezaji waliyokosa nafasi katika kikosi cha wachezaji 23 cha ufaransa kitakachoshiriki kombe la Dunia mwaka huu kilichotangazwa na kocha wa timu hiyo Didier Deschamps.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako