• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jumba la makumbusho la China kufanya juhudi za kutumia mbinu mpya za muuganiko mpana kutambua thamani ya kitamaduni ya vitu vya kihistoria

    (GMT+08:00) 2018-05-18 15:44:09

    Leo tarehe 18, Mei ni Siku ya Kimataifa ya majumba ya Makumbusho, kauli mbiu kwa mwaka huu ni "majumba ya makumbusho yenye muunganiko mpana: mbinu mpya na umma mpya". Alipohojiwa na mwandishi wetu wa habari hapo jana, mkuu wa jumba la makumbusho la taifa la China Bw. Wang Chunfa alisema katika zama mpya, jumba hilo litafanya juhudi za kutumia mbinu mpya za muuganiko mpana kutambua thamani ya kitamaduni ya vitu vya kihistoria na kuboresha maisha ya kiroho ya umma. '


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako