• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazingira magumu ya biashara yawafanya wengi kufunga biashara zao Tanzania

    (GMT+08:00) 2018-05-18 19:07:52

    Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye amesema chanzo cha kufungwa kwa biashara nyingi nchini ni mazingira magumu ya biashara na sera kandamizi zilizopo.

    Simbeye alisema utafiti uliofanywa na TPSF umebaini kuwa biashara 4,640 zimefungwa nchini katika cha miaka mitatu.Alisema Tanzania inatakiwa kupiga hatua zaidi katika suala la ujasiriamali, kwa kuwa sasa ni sekta pekee inayozalisha ajira kwa wingi nchini.Pia, mkurugenzi huyo alisema uchumi wa viwanda kwa Tanzania kwa nchi za Afrika Mashariki, bado upo chini ukilinganisha na Kenya ambayo ina viwanda 500,000 wakati Tanzania ina 53,876.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako