• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali yabariki mabadiliko kwa vilabu, yampongeza "MO" kuwekeza Simba.

    (GMT+08:00) 2018-05-21 10:04:46
    Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo wa Tanzania, Dkt. Harrison Mwakyembe, amebariki mabadiliko ya katiba ya klabu ya Simba ambayo yanaenda kuupokea rasmi mfumo mpya na wa kisasa wa uendeshwaji wa klabu hiyo.

    Mwakyembe ameeleza hayo punde kwenye Ukumbi wa Mikutano wa JK Nyerere uliopo jijini Dar es Salaam ambapo wanachama wa klabu hiyo wameitisha mkutano mkuu wa dharula kwa ajili ya maboresho ya katiba yao.

    Aidha Mwakyembe amesema serikali imeruhusu rasmi mabadiliko hayo kwa kuzingatia Mwekezaji lazima awekeze kwa asilimia 49 na wanachama wasalie na 51.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako