• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AFCON U20-2109: Ngorongoro Heroes yapigwa 4-1 na kutupwa nje ya mashindano

    (GMT+08:00) 2018-05-21 10:05:03
    Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imetupwa pembeni ya mbio za kuwania tiketi za fainali za wachezaji wenye umri wa chini ya miaka 20 Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-1 na wenyeji Mali mchezo uliochezwa uwanja wa Omnisports Modibo Keita mjini Bamako.

    Matokeo hayo yameitoa Tanzania iliyokuwa inawania tiketi hiyo kwa kufungwa jumla ya magoli 6-2. Mali sasa itakutana na mshindi wa jumla kati ya Cameroon na Uganda katika hatua ya mwisho ya mchujo kuelekea Niger mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako