• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya marathoni kwa ajili ya kuchanga fedha kusaidia watoto yafanyika

    (GMT+08:00) 2018-05-21 10:05:20
    Jumla ya wanariadha 136 kutoka nchi za Uswisi, Ujerumani na wenyeji Tanzania wamejitokeza kushiriki mbio maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watoto wenye uhitaji kutoka nchi nane za Afrika.

    Mashindano hayo yamefanyika katika wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro kwa kilomita 42, kilomita 21 na mbio za baiskeli za kilomita 120 pamoja na matembezi ya kilomita 63.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako