• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chelsea yaipiga Man U na kutwaa kombe la FA

    (GMT+08:00) 2018-05-21 10:05:46
    Clabu ya Chelsea ambayo pamoja na kupoteza nafasi ya kushiriki michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019 imefanikiwa kuwafuta machozi mashabiki wake kufuatia kupata ushindi wa FA mbele ya Man United katika mchezo wa fainali ya Kombe la FA katika uwanja wa Wembley.

    Chelsea imetwaa ubingwa huo kwa kuifunga Man United kwa goli 1-0, goli pekee la Chelsea likifungwa na Eden Hazard dakika ya 22 kwa mkwaju wa penati na kuwafanya Man United wakiondoka Wembley vichwa chini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako