• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuelekea michuano ya Kombe la Dunia: Nigeria yatangaza jezi watakayotumia

    (GMT+08:00) 2018-05-21 10:06:05
    Ni siku 24 tu zimesalia kabla ya michuano ya kombe la dunia kuanza kutimua vumbi huko Urusi mwezi Juni mwaka huu, Bara la Afrika likipata nafasi ya kuwakilishwa na mataifa matano ambayo ni Nigeria, Senegal, Misri, Morocco na Tunisia katika fainali hizo.

    Jezi ya timuya Taifa ya Nigeria Super Eagle imetengenezwa na kampuni ya Nike imeanza kununuliwa kwa kasi.

    Kampuni hiyo tayari imepokea oda milioni 3 ya kutengeneza jezi j=hizo na inakadiriwa hadi michuano ya kombe la dunia itakapomalizika watakuwa wametengeneza jumla ya jezi milioni 582 za Nigeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako