• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uwanja wa Nizhny Novgorod,Korea Kusini na Sweden zitachuana Juni 18

  (GMT+08:00) 2018-05-21 10:06:54

  Kuelekea michuano ya kombe la dunia Urusi 2018, Uwanja wa Nizhny Novgorod wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 45, 000 utaaandaa mechi sita za hatua ya makundi na umejengwa katikati ya Mto Oka na Volga.

  Juni 18 Sweden na Korea Kusini zitachuana katika uwanja huo, mechi nyingine itakuwa kati ya Argentina na Croatia hapo Juni 21,England na Panama zitakutana Juni 24, huku Uswisi na Costa Rica zenyewe zitapambana Juni 27.

  Uwanja huu pia utaaanda mechi moja ya hatua ya 16 bora na pia utaandaa mechi moja ya robo fainali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako